Inasemakana Mark Zuckerberg ameanza ujenzi katika eneo lake lenye ukubwa wa ekari 1,400 kwenye kisiwa cha Hawaii cha Kauai, kutoka mwaka 2014. Anajenga makazi, yatakayo zalisha nishati na chakula.
Mwaka uliopita, Google imefanya mabadiliko, na pengine umeyaona. Jambo la kwanza unaloona katika matokeo ya utafutaji wako, mara nyingi ni jibu linalotolewa na akili ya mnemba (AI), badala ya orodha ...