Mwaka uliopita, Google imefanya mabadiliko, na pengine umeyaona. Jambo la kwanza unaloona katika matokeo ya utafutaji wako, mara nyingi ni jibu linalotolewa na akili ya mnemba (AI), badala ya orodha ...
Inasemakana Mark Zuckerberg ameanza ujenzi katika eneo lake lenye ukubwa wa ekari 1,400 kwenye kisiwa cha Hawaii cha Kauai, kutoka mwaka 2014. Anajenga makazi, yatakayo zalisha nishati na chakula.
Oktaba ni mwezi wa afya ya akili nchini Australia, mwezi huo hutumiwa kutoa elimu pamoja na uelewa kwa jamii kuhusu ugonjwa wa Afya ya akili. Rahab Joy Sinclair ni kiongozi wamabalozi wa maswala ya ...
Katika baadhi ya jumuiya, mtazamo kuhusu ugonjwa wa akili unadhaniwa kuwa ni ugonjwa wa akili, ugonjwa wa akili, sehemu ya kawaida ya kuzeeka au hata kutokuwa na maana yoyote. Ugonjwa wa akili ...