All
Search
Images
Videos
Shorts
Maps
News
More
Shopping
Flights
Travel
Notebook
Report an inappropriate content
Please select one of the options below.
Not Relevant
Offensive
Adult
Child Sexual Abuse
Length
All
Short (less than 5 minutes)
Medium (5-20 minutes)
Long (more than 20 minutes)
Date
All
Past 24 hours
Past week
Past month
Past year
Resolution
All
Lower than 360p
360p or higher
480p or higher
720p or higher
1080p or higher
Source
All
Dailymotion
Vimeo
Metacafe
Hulu
VEVO
Myspace
MTV
CBS
Fox
CNN
MSN
Price
All
Free
Paid
Clear filters
SafeSearch:
Moderate
Strict
Moderate (default)
Off
Filter
3:58
Uchaguzi Nchini Tanzania: Idadi ndogo ya wapiga kura imeshuhudiwa katika uchaguzi mkuu nchini Tanzania. Maandamano yenye vurugu, makabiliano kati ya waandamanaji na maafisa wa usalama yameshuhudiwa. #NTVMashinani | NTV Kenya
87.8K views
5 months ago
Facebook
NTV Kenya
Wakenya wanaotoroka COVID-19 China kuwasili nchini wiki ijayo
May 2, 2020
tuko.co.ke
0:52
Wanaharakati nchini Kenya walaani kile wanachokitaja kuwa mauaji ya watu wengi nchini Tanzania. Aidha wamesema hali ya haki za binadamu na usalama kwa sasa nchini Tanzania yametia doa uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, 2025. | DW Kiswahili
200.7K views
5 months ago
Facebook
DW Kiswahili
2:57
Mtanzania anayefanya kazi za ndani nchini Oman, Mariamu Omary, anakabiliwa na tatizo la kiafya huku akiendelea na majukumu yake nchini humo. Global TV imefanikiwa kuzungumza na mmoja wa wanafamilia zake ili kupata undani wa hali ya Mariamu, ambaye kwa sasa anahitaji kurejeshwa nchini kwa matibabu. Akizungumza katika kipindi cha Mapito, Agent wa Mariamu, Hamadi ameeleza kuwa Mariamu anafanyiwa utaratibu kupelekwa Hospitali akiwa vyema kiafya atarejeshwa Tanzania. Video full ipo YouTube ya Global
12.6K views
4 months ago
Facebook
Global Publishers
1:24
Tangu kuanza kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan mwaka 2023, nchi hiyo ya Afrika imegawanyika. Ushiriki wa timu ya taifa katika AFCON sasa unalenga kuwapa wananchi matumaini tena. #DWKiswahili #DWSports #AFCON2025 #soka #Sudan | DW Kiswahili
4.3K views
3 months ago
Facebook
DW Kiswahili
0:45
Polisi nchini Tanzania imetangaza amri ya kutotoka nje kuanzia saa 12 jioni tarehe 29 Oktoba, katika jiji la Dar es Salaam. Hii ni kufuatia vurugu wakati wa uchaguzi mkuu huku huduma za mitandao zikitatizwa nchi nzima.Inspekta Jenerali wa polisi Camillus Wambura alitangaza amri hiyo huku akisema maafisa wa usalama watakuwepo mitaani kuhakikisha kuna ulinzi wa kutosha. | TRT Afrika Swahili
23.9K views
5 months ago
Facebook
TRT Afrika Swahili
0:59
Zaidi ya watu 200 nchini Tanzania wameshtakiwa kwa kosa la uhaini siku chache baada ya maandamano ya uchaguzi ambapo upinzani unasema mamia ya watu waliuawa. Haya ni kwa mujibu wa wakili mmoja Peter Kibatala na vyanzo vya mahakama vilivyoliarifu shirika la habari la AFP. Hapo jana, Kibatala aliiambia AFP kwamba mamia ya watu walifikishwa mahakamani jijini Dar es Salaam. Idadi ya watu 250 waliowajumuisha wake kwa waume, walishtakiwa kwa kesi tatu tofauti na wote kukabiliwa na mashtaka mawili tofa
251.5K views
5 months ago
Facebook
DW Kiswahili
0:33
Wizara ya Jinsia na Ulinzi wa Watoto nchini Ghana imelaani vikali kitendo cha raia mmoja wa Urusi, anayefahamika kwa jina la mtandaoni “Yaytseslav”, kwa kurekodi na kusambaza video za faragha za mwanamke wa Ghana bila ridhaa yake. Tukio hili linafanana na kashfa iliyoibuka nchini Kenya hivi karibuni, ambapo mwanaume huyo huyo alitumia miwani ya kisasa (Ray-Ban Meta smart glasses) yenye kamera za siri kurekodi matukio ya kingono na wanawake aliokutana nao kupitia Dating Apps. Wakati nchini Kenya
73.4K views
1 month ago
Facebook
Wananchi TV
2:39
Mwanaharakati mashuhuri wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania Mange Kimambi, ambaye pia ni mkosoaji mkubwa wa utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan amefunguliwa mashtaka ya uhujumu uchumi nchini mwake. Mange ambaye kwa miaka mingi anaishi nchini Marekani, anakabiliwa na shtaka moja la utakatishaji fedha linalohusisha shilingi milioni 138.5 za Tanzania. Kesi hiyo imeanza kusikilizwa leo Alhamisi Disemba 04, 2025 mbele ya Hakimu Mkaazi Hassan Makube wa Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam. Hata hivyo
464.2K views
4 months ago
Facebook
DW Kiswahili
1:10
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Ali Mwadini amesema lugha ya Kiswahili sasa itatumika kama lugha rasmi katika Mikutano ya Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) baada ya kupitishwa kwa sauti moja. Kwa mujibu wa balozi Mwadini, hatua hiyo ya kihistoria kwa lugha ya Kiswahili, imefikiwa leo Jijini Samarkand, Uzbekistan, ambako Mkutano Mkuu wa UNESCO unaendelea, kufuatia pendekezo lililowasilishwa na Tanzania, mapema mwaka huu. Imeelezwa kuwa uamuzi huo uliofanya wak
979 views
5 months ago
Facebook
Nipashe
1:09
Mwanadada Farida Hamadi ni miongoni mwa wanawake waliokuwa wanaishi nchini Oman 🇴🇲, ambako walikwenda kufanya kazi za ndani lakini baadaye wakajikuta wakikwama katika mazingira magumu ya maisha. Farida ni mmoja kati ya wanawake zaidi ya 16 waliokuwa wakiomba msaada ili kurejea nchini baada ya kukumbana na changamoto mbalimbali wakiwa ugenini. Kupitia kipindi cha Mapito kinachorushwa na Global TV, Farida amefunguka na kueleza kwa kina maisha magumu aliyokuwa akipitia alipokuwa akifanya kazi nch
59.4K views
3 months ago
Facebook
Nzali Global
0:36
Middle East: Trump says it was necessary to attack Iran
57.5K views
1 month ago
YouTube
RFI Kiswahili
0:37
Marekani yadai kuendelea vyema katika vita yake Iran
16.4K views
3 weeks ago
YouTube
RFI Kiswahili
3:16
Polisi 215 warudi nchini kutoka Haiti wakiongozwa na Inspekta Jenerali
7K views
3 weeks ago
YouTube
Citizen TV Kenya
0:09
VITA IRAN: WAZIRI AKUTANA NA WADAU WA KAMPUNI ZA MAFUTA
5.9K views
1 month ago
YouTube
Millard Ayo
3:16
DCI waanzisha msako mkali wa kuwakamata wezi wa simu Nairobi
5.7K views
1 month ago
YouTube
Citizen TV Kenya
0:40
Middle East: Netanyahu explains why they attacked Iran
60.7K views
1 month ago
YouTube
RFI Kiswahili
1:01
US troops continue to carry out attacks on Iran
265.2K views
1 month ago
YouTube
RFI Kiswahili
2:53
Afrika Kusini kuondoa majeshi DRC
2.1K views
2 months ago
YouTube
TRT Afrika Swahili
1:28
Iran na Israel zaendelea kushambuliana
204K views
1 month ago
YouTube
DW Kiswahili
2:32
DEPUTY MINISTER MAKONDA LEADS STARS, ENTHUSIASM TOWARDS THE MATCH AGAINST NIGERIA..
48 views
3 months ago
YouTube
RadioOne Tanzania
1:36
BBC News Swahili | Uchunguzi wa BBC Africa Eye kuhusu ushuhuda wa utekaji nyara na mateso nchini Tanzania umetambua jina la mkuu wa polisi wa ngazi ya juu wa... | Instagram
890.6K views
2 months ago
Instagram
bbcswahili
2:30
HABARI : TANZANIA KUANZA ELIMU YA LAZIMA HADI KIDATO CHA NNE MWAKA 2028 Waziri Mkuu wa , , amesema kuanzia mwaka 2028 Tanzania itaanza rasmi utekelezaji wa elimu ya lazima kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha nne. Dkt. Nchemba amesema hatua hiyo inalenga kuongeza upatikanaji wa elimu kwa watoto wote nchini na kuhakikisha kila mtoto anapata fursa ya kuendelea na masomo ya sekondari. Aidha, amewataka watendaji wa serikali kuanza kufanya maoteo ya mahitaji ya miundombinu ya elimu ikiwemo ujenzi
3.4K views
3 weeks ago
TikTok
openonlinemedia
1:58
Habari Clouds on Instagram: "Katika kile kilichoelezwa kuwa ni muendelezo wa kuimarisha sekta ya kilimo nchini, pamoja na kukuza kilimo biashara. Tanzania kwa mwaka 2025 kupitia Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania TPHPA imebainisha ongezeko la masoko ya kimataifa mengine mapya ya mazao 9 yanayozalishwa hapa nchini na kuweza kupata nafasi ya kuuzwa katika nchini 15, mazao hayo ni kama ( Tumbaku, Karafuu, Soya, Viazi mviringo Vanila n.k). Akizunguma na waandishi wa habari Mkurugenzi Mk
1.5K views
3 months ago
Instagram
habariclouds
1:00
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ameagiza wakandarasi nchini kulipa watumishi wao kwa mujibu wa sheria za nchi na si kuwapunja. Waziri Ulega ametoa maelekezo hayo akiwa Mkoani Kilimanjaro wakati akikagua maendeleo ya barabara ya Same- Kisiwani- Mkomazi yenye urefu wa kilometa 100.5 ambayo inajengwa na mkandarasi M/S China Communication Construction Companya Ltd. Katika tukio hilo alipata malalamiko kuwa wafanyakazi kwenye ujenzi wanalipwa fedha kidogo kuliko kile kinachokubalika kisheria. #Focu
25.6K views
1 month ago
TikTok
focustvtz
MAREKANI YATUMA NDEGE HATARI ZA KIVITA ZA F-35 NCHINI VENEZUELA
13.6K views
7 months ago
YouTube
THE WORLD NEWS
19:45
MATUKIO 10 YALIYOTIKISA NCHINI TANZANIA 2019
21.1K views
Dec 31, 2019
YouTube
Global TV Online
40:32
HISTORIA YA OPERATION ENTEBBE(Part 1)
2.4M views
Jul 3, 2019
YouTube
Global TV Online
2:58
RAISI MAGUFULI ARUDISHA WANYAMAPORI IKULU
220.9K views
Feb 9, 2020
YouTube
Global TV Online
5:26
Lahaja za Kiswahili
8.4K views
May 10, 2021
YouTube
Mwalimu omar
See more
More like this
Feedback